Kenyatta ameondoka katika Uwanja wa Ndege wa Chato jana mchana akisindikizwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, John Magufuli.
Rais Kenyatta aliwasili Chato Ijumaa ikiwa ni ziara yake binafsi baada ya kualikwa na Rais Magufuli.
Mara baada ya kuwasili alizungumza na wananchi akisisitiza umoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ili kuendeleza ushirikiano.
Pamoja na mambo mengine, kiongozi huyo alimjulia hali mama mzazi wa Rais Magufuli, Suzana.
Social Plugin