Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WANAFUNZI, WASANII TUKUTANE KWENYE SHOW KALII 'REFRESH BEFORE SCHOOL'


Show ya 'Refresh before School' inalenga kukuwakutanisha wanafunzi wote hapa town na nje ya shytown waweze kufahamiana mawazo kubadilisha ni namna gani wanaweza kufanya vizuri kwenye masomo yao kufikia ndoto zao, kisha burudani ya muziki kwa wote wadau wa burudani itafanyika SP hotel Lubaga Shinyanga Mjini kuanzia saa nane hadi saa kumi na mbili kiingilio elfu mbili tu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com