BASI LA ABOOD LAPATA AJALI ENEO LA MKOLANI JIJINI MWANZA
Friday, August 09, 2019
Basi la kampuni ya Abood linalofanya safari zake Mwanza-Dar limepata ajali asubuhi eneo la Mkolani Jijini Mwanza njiani likielekea Dar.
Inadaiwa kwamba chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki aliyekatiza barabara ghafla na kusababisha dereva wa basi kukosa mwelekeo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin