JESHI LA POLISI LAMTIA MBARONI AFISA USALAMA WA TAIFA FEKI
Friday, August 09, 2019
Jeshi la polisi nchini kupitia kikosi chake cha viwanja vya ndege jijini Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili katika uwanja wa Mwl. JK Nyerere kwa makosa tofauti.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin