KATIBU Msaidizi wa Tawi la Simba Cream la Jijini Tanga Edgar Mdime ambaye pia ni Mweka Hazina kulia akilakiwa na wanachama wa Simba Tawi la Duga mara baada ya kuwasili kwa ajili ya sherehe za Simba Day
KATIBU Msaidizi wa Tawi la Simba Cream la Jijini Tanga Edgar Mdime ambaye pia ni Mweka Hazina kulia akisaliana na wanachama wa simba Tawi la Duga
MMOJA wa viongozi na wanachama wa Simba Tawi la Simba Cream Jijini Tanga wakiwasalimia wenzao wa Tawi la Duga
KATIBU Msaidizi wa Tawi la Simba Cream la Jijini Tanga Edgar Mdime ambaye pia ni Mweka Hazina kulia akiteta jambo na Katibu wa Tawi la Simba Duga Ramadhani Mlekwa wakati wa sherehe za Simba Day
KATIBU Msaidizi wa Tawi la Simba Cream la Jijini Tanga Edgar Mdime kulia ambaye pia ni Mweka Hazina kulia akiwa na viongozi wengine wakipata chakula kwenye Tawi la Simba Duga wakati wa sherehe za Simba day
Katibu wa Tawi la Simba Duga Ramadhani Mlekwa wakati wa sherehe za Simba Day akionyesha nembo ya simba
Sehemu ya wana Simba wakiwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya wana Simba wakiwa kwenye sherehe hizo
KATIBU Msaidizi wa Tawi la Simba Cream la Jijini Tanga Edgar Mdime ambaye pia ni Mweka Hazina kushoto akiwa na wanachama wa Simba Tawi la Duga wakati wa sherehe za Simba Day
Social Plugin