Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku Bajaji na Bodaboda kulipishwa faini papo kwa papo wanapofanya makosa ya barabarani badala yake amewataka Polisi kutoa siku 7 kama wanavyofanya kwa magari.
Lugola ameyasema hayo katika mkutano wa Wamiliki na Waendeshaji wa vyombo hivyo, Mjini Moshi, leo.
Social Plugin