Lori la mafuta la Kampuni ya Interpetrol likitokea Jijini Dar es salaam kuelekea Burundi limeanguka katika Mji Mdogo wa Isaka wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Agosti 17,2019 majira ya saa nane na nusu mchana na kusababisha mafuta kumwagika.
Akizungumza na Malunde1 blog, Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao amesema hakuna madhara yaliyotokea kutokana na ajali hiyo.
Akizungumza na Malunde1 blog, Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao amesema hakuna madhara yaliyotokea kutokana na ajali hiyo.
Social Plugin