Breaking : WATU 60 WAMEKUFA,60 KUJERUHIWA BAADA YA LORI LA MAFUTA KUWAKA MOTO MORO
Saturday, August 10, 2019
Watu zaidi ya 60 wamekufa na wengine 70 kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kupinduka na kuwaka moto eneo la Msamvu mkoani Morogoro. Inadaiwa chanzo ni watu kutaka kuiba betri kutoka kwenye tenki hilo lililokuwa limepinduka leo asubuhi huku wengine wakiiba mafuta ndipo moto ukalipuka.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin