Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA SADC MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA NDANI CHA WAKUU WA NCHI HIZO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Ndani wa W akuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emerson Mnangagwa akisoma moja ya kitabu cha Lughaya Kiswahili katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa naMwenyekitiwa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi akisoma moja ya kitabu cha Lughaya Kiswahili katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa  Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com