RAIS WA SHELISHELI DANNY FAURE AWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA SADC
Friday, August 16, 2019
Rais wa Shelisheli Danny Faure, amefika nchini na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 39 wa SADC utakaofanyika kesho.
Rais Faure ni Rais wa pili kuja nchini baada ya kutanguliwa na Rais wa Afrika Kusini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin