Mwenyekiti mstaafu wa SADC na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, atatoa mhadhara kwa umma kesho kuhusu uzoefu wake katika jumuiya hiyo.
Mhadhara huo utakaowashirikisha wasomi, wachambuzi wa masuala ya kikanda, wanasiasa, wachumi, wafanyabiashara na wananchi wa kawaida, utafanyika katika jengo jipya la maktaba la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Social Plugin