Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHEIKH MKUU WA TANZANIA ATANGAZA AGOSTI 12 KUWA SIKUKUU YA IDD

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametangaza kuwa sikukuu ya Idd El-Adh'haa itakuwa siku ya Jumatatu, August 12,2019, Swala ya Eid Kitaifa itaswaliwa viwanja vya Masjid Kibadeni,Chanika,Jijini DSM ikifuatiwa na Baraza la Eid katika viwanja hivyohivyo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com