JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WANAFUNZI CHUO CHA UALIMU MOSHI WANAODAI KUTAPELIWA ZAIDI YA MILIONI 75
Monday, September 09, 2019
Jeshi la Polisi limezuia maandamano ya wanafunzi zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, kisha kuwakamata baadhi yao baada ya kufunga barabara wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya milioni 75 za malipo ya ada.
Shinikizo hilo linachukuliwa na Wanafunzi hao baada kuzuiliwa kuingia kwenye chumba cha mtihani kutokana na Malipo yao ya Ada waliyolipa kupitia Benki kutoonekana kwenye account ya chuo hicho
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin