Jeshi la Polisi Mkoa Arusha linamshikilia Amir Hassan kwa tuhuma za kumuua mke wake, Lidya Kiwale kisha kutupa mwili kwenye migomba jirani na makazi yake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema tukio hilo limetokea kijiji cha Majengo na baada ya mauaji hayo Hassan anatuhumiwa
"Tumepata taarifa za tukio hili ambalo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Septemba 15, 2019 na mtuhumiwa tayari ameshikiliwa na polisi kwa mahojiano",amesema Kamanda Shana.
Social Plugin