MAZISHI YA RAIS MSTAAFU ROBERT MUGABE KUFANYIKA SEPTEMBA 15
Monday, September 09, 2019
Mwili wa Rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuzikwa Jumapili, Septemba 15,2019.
Rais Mugabe alifariki dunia Septemba 6 huko nchini Singapore alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mwezi Aprili, 2019.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin