RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA APSON MWANG’ONDA
Thursday, September 05, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang’onda anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin