BARABARA YA SEGERA - MKOMAZI YAFUNGULIWA BAADA YA MAFURIKO KUPUNGUA
Monday, October 14, 2019
Barabara ya Segera - Mkomazi ambayo ilikuwa imefungwa tangu jana kutokana na barabara hiyo kujaa maji eneo la Mandera, imefunguliwa leo baada ya maji kupungua na Tanroads kuifanyia marekebisho.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin