Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live : RAIS MAGUFULI ANAZINDUA SAFARI ZA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZA DAR ES SALAAM - MPANDA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Katavi  ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Katavi na Wilaya zake


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com