KANGI LUGOLA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Sunday, October 13, 2019
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika Kituo cha Senta, Kijiji cha Nyamitwebili, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, leo Oktoba 13, 2019.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin