WAZIRI MKUU WA TANZANIA, KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN
Thursday, October 24, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin