RAIS MAGUFULI ASAINI MISWADA MINNE NA KUWA SHERIA RASMI
Tuesday, October 01, 2019
Rais Magufuli amesaini miswada minne na kuwa sheria rasmi, miswada hiyo ilipitishwa na Bunge kupitia mkutano wake wa 16 uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Sheria zilizopitishwa ni pamoja na Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin