RC SHIGELLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAMILIKI WAPYA WA KIWANDA CHA KUZALISHA SARUJI CHA RHINO TANGA
Friday, October 18, 2019
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayej
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa
VIONGOZI mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha Salim
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin