TAARIFA MPYA KUTOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUTUMA MAOMBI
Thursday, October 10, 2019
Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu-HESLB imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020.
Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.
Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni October 15.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin