Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WATOA HUDUMA KWA WATEJA WA TIGO WAPEWA ZAWADI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA



Afisa Biashara Mkuu wa Tigo, Bw.Tarik Boudiaf akizungumza na watoa huduma katika hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapema ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja .Hafla hii ilifanyika jana jijini Dar es Salaam. 
Mkurungezi Mtendaji wa Tigo Simon Karikari akizungumza na watoa huduma katika hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapema ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja .Hafla hii ilifanyika jana jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya watoa huduma wa Tigo wakiwa makini kufuatilia hotuba ya Mkurungezi mtendaji wa Tigo Simon Karikari a hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapema ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Tigo , Mwangaza Matotola akizungumza na a watoa huduma katika hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapema ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Baadhi ya watoa huduma wa Tigo wakiserebuka na burudani ya muziki katika hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapemaikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Vicheko na furaha vilitawala hafla hiyo.
Mkurungezi Mtendaji wa Tigo Simon Karikari akiwa katika picha ya pamoja na watoa huduma katika hafla ya kuwapongeza kwa kutoa huduma bora kwa wateja iliyofanyika mapema ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com