Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGA MAFUNZO YA KIJESHI YA WATUMISHI MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO – ARUSHA

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua gwaride la heshima la askari wa jeshi USU alipokwenda kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akikabidhi cheti cha kuhitimu mmoja wa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro aliyepatiwa mafunzo ya Jeshi USU wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.
Askari wa Jeshi USU waliohitimu mafunzo wakionesha uwezo wao wa kufuangua silaha na kuifunga ndani ya muda mfupi wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.Askari wa Jeshi USU kikosi maalum wakionesha uwezo wao wa kukabiliana na majangili wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.

Askari wa Jeshi USU waliohitimu mafunzo wakipita kwa ukakamavu mbele ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.

PICHA – Aron Msigwa –WMU, Arusha.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com