JINSI YA KUKATA RUFAA KAMA HUJAPATA MKOPO WA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU AU UMEPEWA KIASI AMBACHO HUJARIDHIKA NACHO
Thursday, November 14, 2019
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la kukata rufaa kwa wanafunzi ambao hadi sasa hawajapata mkopo au hawajaridhika na kiwango cha mkopo walichopangiwa katika mwaka wa masomo wa 2019/2020.
Dirisha liko wazi kuanzia Novemba 13 had 23, 2019.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin