Klabu ya Soka ya Simba SC imeiadhibu bila huruma Mbeya City baada ya kuifunga goli 4 kwa sifuri kwenye mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam huku Medie Kagere akiendeleza moto wake wa kufunga.
Mabao ya Simba yamefungwa na Medie Kagere dakika ya 8 kwa mkwaju wa penati huku mabao mengine yakifungwa na Clatous Chama dakika ya 43, Shiboub dakika ya 78 na Deo Kanda dakika ya 87.
Social Plugin