NHIF YATOA UFAFANUZI JUU YA TAARIFA ZA ONGEZEKO LA MICHANGO YA WANACHAMA KUTOKA 18,000 HADI 40,000
Saturday, November 30, 2019
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zinadai kuwa kuna ongezeko la uchangiaji kutoka TZS 18,000 hadi TZS 40,000.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin