Aliyekuwa kocha wa Simba Patrick Aussems
Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema uongozi wa Simba umemthibtitishia kuwa yeye kuanzia sasa si Kocha tena wa Klabu hiyo.
Aussems amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema uongozi wa Simba na kupitia Mkurugenzi wake ndiyo umempatia taarifa hizo.
Aussems ameandika kuwa "Kupitia Bodi ya Wakurugenzi wa Simba nimeambiwa mimi si Kocha tena wa timu hiyo."
Hivi karibuni timu hiyo ilitangaza kumsimamisha kazi Kocha huyo kwa kile ilichoelezwa ni utovu wa nudhamu
The board of directors, through the CEO , just told me that I was no longer the head coach of Simba . pic.twitter.com/DlVjxkTNgz— Patrick Aussems (@PatrickAussems) November 30, 2019
.
Social Plugin