JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAWATAHADHARISHA WANANCHI KUTOTHUBUTU KUVUKA KWENYE MADARAJA YALIYOJAA MAJI
Saturday, December 21, 2019
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linawatahadharisha wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja au makaravati yaliyofunikwa na maji kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin