Live: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MELI MPYA , CHELEZO NA UKARABATI WA MV VICTORIA NA BUTIAMA
Sunday, December 08, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin