Live: RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO BUSISI JIJINI MWANZA
Saturday, December 07, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi lenye urefu wa 3.2 kilometa katika Ziwa Vitoria litakalounganisha Mkoa wa Mwanza na Geita.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin