PAPA FRANCIS AMTEUA LUDOVICK KUWA ASKOFU MPYA JIMBO LA MOSHI
Monday, December 02, 2019
Baba Mt. Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Askofu wa Kahama.
Jimbo Moshi limekuwa wazi tangu Desemba 27, 2017 wakati aliyekuwa Askofu wake, Isaac Amani Massawe alipoteuliwa kuwa Askofu Mkuu, Jimbo la Arusha
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin