Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir akiangalia mchoro wa utakaavyoonekana Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda alkipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti huo utaokuwa na uwezo wa kukaa waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje, ukiwa unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Nurdin Kishk na viongozi wengine wa dini ya Kiislamu kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato
wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamaniya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai akisalimia wananchi akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na
viongozi wengine wa dini na serikali wa Mkoa wa Geita kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akisalimia wananchi akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi
wengine wa dini na serikali wa Mkoa wa Geita kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa
ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini wa Mkoa
wa Geita wakipata picha ya kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa
ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
PICHA NA IKULU
Social Plugin