Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Jaji Mkuu wa
Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spikawa Bunge Job
Ndugai pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Agustine Mahiga kuashiria ufunguzi waJ engo
la Mahakama ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Juma mara baada ya kufungua jengo la
Mahakama ya Wilaya ya Chato lililopo Mlimani Chato mkoani Geita.
Raiswa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chato(hawaonekanipichani)
wakati akiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua eneo la Mapokezi katika jengo jipya la Mahakama ya Wilaya yaChato lililopo eneo la Mlimani Chato mkoani Geita mara baada ya kulifungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimi wa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chato mara baada ya kufungua jengo la Mahakama la
Wilaya ya Chato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa naMke wake Mama
Janeth Magufuli wa pili kutoka kulia waliokaa, Spika wa Bunge Job
Ndugai watano kutoka kulia waliokaa, JajiMkuuwa Tanzania Profesa Ibrahim
Juma wanne kutoka kushoto waliokaa pamoja na viongozi wengine wa Mkoa pamoja na viongozi wa Kidini mara baada ya kufungua jengo jipya
la Mahakama ya Wilaya ya Chato.
Moja ya Vyumba vya Mahakama hiyo ya Wilaya ya Chato kama inavyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Kituo
cha Jeshi la Zimamoto la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Sehemu ya Jengo la Kituo cha
Jeshi la Zima moto naUokoaji cha Wilaya ya Chato kilichowekewa Jiwe la
Msingi leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU
Social Plugin