Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WASHINDI WA PROMOSHENI YA KISHINDO CHA KUFUNGA MWAKA WAZIDI KUVUNA MAMILIONI

Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo, Kanda ya Kusini, Abass AbdulRahman (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh Milioni tano Desteria Mallole wa mjini Iringa baada ya kuibuka mmoja kati ya washindi nane wa wiki wa Kampeni ya Kishindo cha Funga Mwaka

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com