Msanii Vanessa Mdee amemleta mpenzi wake ambaye ni muigizaji maarufu wa Nigeria na Marekani, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’ kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania.
Inasemekana wawili hao watafanya show usiku wa leo katika Ukumbi wa Velisas – Kawe Beach. jijini Dar es salaam ambayo ni maalum kwa kuuaga mwaka 2019 na kuukaribisha 2020.
Social Plugin