Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ZITTO KABWE AMPONGEZA MBOWE KWA KUCHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI CHADEMA


Chama cha ACT Wazalendo kimetoa pongezi kwa Viongozi wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho.



Kupitia ukurasa wake wa Twitter Zitto ameandika “Nakupongeza Freeman Mbowe kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Nawapongeza wana CHADEMA kwa kumaliza Mkutano Mkuu wa Chama na kuchagua safu ya Uongozi kwa miaka mitano ijayo. Tushirikiane kuweka mikakati ya pamoja kuhami demokrasia yetu.”



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com