Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha: NEW DOWN TOWN PUB YAZINDULIWA KWA KISHINDO TOFFEE UPTOWN AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SHINYANGA MJINI

Baa maarufu kwa jina la ‘New Down Town Pub’ iliyopo katika eneo la Maduka Mengi karibu na La Prince Pub Mjini Shinyanga imezinduliwa rasmi leo Jumamosi Januari 18,2020.

Uzinduzi huo uliofanyika usiku wa Jumamosi Januari 18,2020 umeenda sanjari na Sherehe ya kuzaliwa 'Birthday Party' ya Mfanyabiashara Maarufu Toffee UpTown mkazi wa Mjini Shinyanga.

Wadau mbalimbali wamejitokeza kusherehekea sherehe ya kuzaliwa ‘Birthday Party’ ya Toffee Uptown aliyezaliwa Januari 18 miaka kadhaa iliyopita.

Tazama hapa chini picha za matukio yaliyojiri
Muonekano wa New Down Town Pub iliyozinduliwa rasmi usiku wa Jumamosi Januari 18,2020. Hapa ndipo Sherehe ya Kusherehekea Kuzaliwa 'Birthday Party' ya Mfanyabiashara Toffee Uptown Mjini Shinyanga imefanyika.Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wadau wakicheza muziki wakati wa uzinduzi wa New Down Town Pub na Birthday Party ya Toffee Uptown. Kushoto ni MC Mzungu Mweusi
Keki yenye umbo la Mkoba iliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya Toffee Uptown wakati wa Birthday party yake Januari 18,2020
Mfanyabiashara Toffee Uptown akikata keki kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Januari 18.

Mc Paroko akishuhudia Toffee Uptown akikata keki

Toffee Uptown akikata keki

Mfanyabiashara Toffee Uptown akikata keki kusherehekea siku yake ya kuzaliwa 

Zoezi la kukata keki likiendelea.
Toffee Uptown akikata vipande vya keki kwa ajili ya kuwalisha wadau mbalimbali waliojitokeza katika uzinduzi wa New Down Town Pub na kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa Toffee Uptown. 
Wadau wakifurahia jambo
Mdau Ashirafu kutoka Kahama Mjini akigonga cheers na wadau waliohudhuria Birthday Party ya Toffee Uptown na uzinduzi wa New Down Town Pub
Wadau wakiwa eneo la tukio 
Toffee Uptown akimlisha keki Paroko
Zoezi la wadau kulishwa keki likiendelea
Mdau Selina Mango akimlishe keki Tofee Uptown
Waandaaji wa Birthday Party ya Tofee Uptown wakicheza muziki 
Toffee Uptown akimlisha keki mdau 
Wadau wakifurahia utamu wa keki 
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 

Toffee Uptown akijiandaa kumlisha Meneja wa Level One pub,Beny Lihawa
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 
Wadau wakiwa eneo la tukio 
Tofee Uptown akimlisha keki Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dellah Car Traders Edwin Mhella
Meneja Masoko wa Kampuni ya Dellah Car Traders Athuman Mbelwa wa Dellah Car Traders akilishwa keki 
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 
Toffee Uptown akimlisha keki Mkurugenzi wa Malunde 1 blog,Kadama Malunde 
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 
Toffee Uptown akijiandaa kumlish keki mdau Ashirafu wa Kahama
Bosi wa Big 5 Barber Shop & Sauna,bwana Adam akisikilizia utamu wa keki. 
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 
Toffee Uptown akiendelea kuwalisha keki wadau 
MC Mzungu Mweusi akila keki 
Wadau wakiwa eneo la tukio 
Wadau wakiwa kwenye eneo la tukio 
Wadau wakicheza muziki na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza muziki na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza muziki na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza muziki na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Mdau Ommy Fashion akimshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Mdau Adam wa Big 5 Barber Shop & Sauna akimshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Wadau wakicheza na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Mdau akimshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown 
Zoezi la kumshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown likiendelea 
Zoezi la kumshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown likiendelea
Wadau wakicheza muziki na Toffee Uptown 
Zoezi la kumshika mkono na kumpa zawadi Toffee Uptown likiendelea 
Furaha ikitawala eneo la tukio 
Meneja Masoko wa Dellah Car Traders  Company Athuman Mbelwa akizungumza wakati wa kumpa zawadi Toffee Uptown 

Wadau wakicheza na Toffee Uptown 

Mc Paroko akitoa neno la Shukrani kwa wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa New Down Town Pub na sherehe ya kuzaliwa kwa Toffee Uptown 
Mdau Selina Mango kulia akipiga picha na Toffee Uptown 
Toffee Uptown akipiga picha na vijana wa Shinyanga Mjini. 

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com