Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar limemtaka Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kufika kituo cha Polisi Wilaya ya Wete leo Jumanne Januri 14, 2020 saa tatu asubuhi.
Mbali na Maalim Seif, mwingine ni Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa chama hicho, Salim Bimani.
Mshsuri wa Mkuu wa Chama ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad tukiwa tayari tunaelekea Pemba kusikiliza Wito wa Polisi huko wete Pemba.@zittokabwe @AdoShaibu pic.twitter.com/RwTfPMVJy9— Salim Bimani (@salimbimani2) January 14, 2020
Social Plugin