Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemtaka msanii wa Bongo Fleva Tumaini Godfrey maarufu Dudubaya kufika katika ofisi za baraza hilo leo kesho Januari 7, kwa mahojiano zaidi baada ya kusambaa kipande cha video kikimuonesha akitoa kauli zisizokuwa na maadili.
Social Plugin