Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

OMAN IMEIHAKIKISHIA TANZANIA KUWA MIRADI YOTE YA MAENDELEO ITATEKELEZWA.





Serikali ya Oman imeihakikishia serikali ya Tanzania kuwa miradi yote ya maendeleo iliyoahidiwa na Oman chini ya uongozi wa Sultan Qaboos Bin Said Al Said aliyefariki siku chache zilizopita itatekelezwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com