Picha: KANGI LUGOLA ALIVYOWASILI TAKUKURU KWA AJILI YA KUHOJIWA
Friday, January 31, 2020
Mbunge wa Mwibara na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewasili makao makuu ya ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin