RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA WENGI ZAIDI WAFUNGE WANYAMAPORI
Friday, January 03, 2020
Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama(Zoo) ili kuongeza idadi ya Wanyamapori hao na kupanua fursa za Utalii na ajira,kwa sasa Tanzania ina Zoo 23, Mashamba ya wanyama 20 na ranchi 06.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin