Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI, UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI, FILIPE NYUSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com