Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MFANYABIASHARA MAARUFU GEORGIA BUYAMBA AFUNGUA DUKA JIPYA LA VINYWAJI ‘UNIQUE LIQUOR STORE’ SHINYANGA MJINI


Mfanyabiashara maarufu wa vinywaji  mjini Shinyanga Georgia Buyamba amefungua duka jipya ‘Unique Liquor Store’ kwa ajili ya kuuza vinywaji vya ndani na nje ya nchi kwa bei ya jumla na reja reja.



Duka hilo lililopo katika uwanja wa CCM Kambarage linalotazamana na nyumba mpya za jeshi la polisi Mjini Shinyanga (Barabara ya Old Shinyanga) limezinduliwa rasmi leo Jumamosi Februari 22,2020. 



Mkurugenzi wa Unique Liquor Store Georgia Buyamba amesema miongoni mwa vinywaji vinavyopatikana katika duka lake jipya ni pamoja Whisky,wine,bia, soda,juisi na maji.

"Ninapenda kuwakaribisha sana wateja wetu wafike katika duka letu kwani tumezingatia mahitaji yao. Tuna vinywaji kutoka ndani na nje ya Tanzania,tunauza kwa bei ya jumla na reja reja kwa gharama nafuu",amesema Buyamba.


Wasiliana na Unique Liquor Store kwa simu namba  0763814949 au 0753889105 au 0767257908


Mkurugenzi wa Unique Liquor Store Georgia Buyamba akielezea kuhusu bidhaa zinazozopatikana katika duka lake ambazo ni pamoja na Whisky na wine. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akionesha vinywaji mbalimbali vinavyopatikana katika duka jipya la Unique Liquor Store.

Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akionesha vinywaji mbalimbali vinavyopatikana katika duka jipya la Unique Liquor Store.
Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akiwa dukani kwake.

Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akiwa dukani kwake.

Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akiwa dukani kwake.

Mkurugenzi wa Unique Liquor Store, Georgia Buyamba akiwa dukani kwake.

Meneja wa Unique Liquor Store Yusuph Manji akiwa ameshikilia Jameson whisky.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Sumari Security Guard SSG, God Sawere akiwa ameshikilia Hennessy whisky.

Mdau Humphrey maarufu Paroko akifurahia jambo dukani akiwa ameshikilia pombe aina ya Konyagi.

Mdau Irene Fast Food akiwa ameshikilia pombe aina ya K Vant.
Mdau Irene Fast Food akiwa ameshikilia Smirnoff na Valeur.

Mdau Selle Zoro Jameson whisky

Mc Seki akiwa na pombe aina ya Konyagi.
Mc Seki akiwa dukani na boksi la pombe 'Jack Daniel's'.

Mdau Gven Wear akiwa ameshikilia pombe aina ya Amarula.

Mdau Lilian 'mfanyabiashara wa Perfume' akiwa amebeba pombe aina ya Savanna .

Mdau Toffee Uptown akibeba boksi la K Vant.

Mdau Kadama Malunde 'Malunde 1 blog' akiwa ameshikilia Wine.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com