KAULI YA KWANZA YA BENARD MEMBE BAADA YA KUFUTWA UANACHAMA WA CCM
Friday, February 28, 2020
Muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ikiongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Dkt Magufuli kumfuta uanachama wa CCM Bernard Membe, Waziri huyo wa zaman wa Mambo ya Nje amefunguka na kutoa kauli.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Membe amewataka wafuasi wawe watulivu na kwamba ataliongelea hilo muda si mrefu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin