Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kushoto) akimfafanulia jambo Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP),Simon Sirro, leo February 19, 2020 wakati wa majadiliano ya Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi Nchini. 

Simbachawene ameanza ziara ya kuzitembelea Taasisi mbalimbali za Wizara hiyo.
Picha: Jeshi la Polisi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com