Live : DPP AIKABIDHI SERIKALI MALI ZILIZOTAIFISHWA NA MAHAKAMA
Monday, February 10, 2020
DPP Aikabidhi Serikali Mali Zilizotaifishwa na Mahakama
Jumla ya kilo 397.937 za dhahabu zenye thamani ya bilioni 32,274,336,361.73 zimetaifishwa,dhahabu hizi zilikuwa zinatoroshwa na kuikosesha Serikali mapato yake
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin