Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live : RAIS MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA WIKI YA SHERIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Febuari, 2020 anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com